Burudani

Mke wa Chid Benz afunguka haya kwa mara ya kwanza “Nimeyasikia na kuyaona mengi sana kuhusu Chid” (+ Video)

Msanii na mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Chid Benz amefunguka mengi na kuamu kumtambulisha mke wake kwa mra ya kwanza kupitia Bongo 5.

Mbali na kutambulishwa huko, Mke wake Chid Benz ambaye anaitwa Sabrina ameongea haya:-

Hapa tuliongea na mke wake Chid Benz.

Hapa Chid Benzi alikuwa akitambulisha Nyumba yake na jinsi anavyoishi kwa sasa.

Hapa alikuwa akitambulisha mradi wake wa kuuza mkaa na kufuga kuku.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents