Michezo

Mke wa Kobe Bryant aishitaki kampuni ya ndege ilisababisha ajali ya mume wake na kutaka fidia kwa uzembe – Video

Mke wa Kobe Bryant aishitaki kampuni ya ndege ilisababisha ajali ya mume wake na kutaka fidia kwa uzembe - Video

Mke wa Kobe Bryant Vanessa Bryant ameishtaki kampuni ya Island Express na rubani wa helikopta iliyopata ajali na kusababisha kifo cha mume wake na mwanae Gianna lakini pia watu wengine 7.
Hapa alikuwa akiongea mazuri ya mume wake Kobe Bryant na baadhi ya mambo aliyowahi kumfanyia ambayo hawezi kuyasahau kamwe kwenye maisha yake.

Akiongea jana katika siku maalumu ya kutoa heshima za mwisho kwa wapendwa wao Amesema “hali ya hewa haikuwa salama kwa safari, na helikopta ilikuwa mbovu kwanini iliruhusiwa kufanya safari huku hali ya hewa haikuwa salama kwa safari, Hali ya kuwa wahusika wanaelewa fika mazingira yapi hayafai kufanya safari na mazingira yapi yanafaa kwa safari Za Helkopta ”

Ametaka kulipwa fidia kwa kupoteza wapendwa wake kwani anaamini kuna uzembe ulifanyika. Ikumbukwe Kobe Bryant binti yake Gianna Bryant na watu wengine 7 walipoteza maisha mnamo January 26 mwaka huu katika eneo la Calabasas California.

https://www.instagram.com/p/B8-qtVvB8qG/

https://www.instagram.com/p/B89jpmZhVOQ/

https://www.instagram.com/p/B89sM3phO40/

https://www.instagram.com/p/B89rk3oBMs_/

https://www.instagram.com/p/B89gGPZB0KF/

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents