Burudani

Mke wa Ne-Yo aonyesha picha za ujauzito wake, akumbushia yaliyomkuta kwenye mimba ya kwanza

Mke wa msanii Ne-Yo, Crystal Renay Smith ameonyesha picha zake mpya za ujauzito wake ambapo atakuwa ni mtoto wao wa pili.

Crystal ameweka picha hizo kupitia mtandao wa Instagram na kuandika ujumbe ambao unakumbushia mateso aliyoyapata wakati wa ujauzito wa mtoto wake wa kwanza, Shaffer Chimere Smith, Jr aliyezaliwa March 2016 ambaye pia ni mtoto wa tatu wa Ne-Yo.

Kupitia mtandao huo, Crystal ameandika:

My last pregnancy was horrible ( understatement 😫) I couldn’t do anything for many different reasons. When I found out I was going to do it all over again I cried because I was in amazing shape and on an thriving fitness journey. More focused than I’ve ever been in life! So instead of succumbing to sickness and first trimester trials , I decided to KEEP MOVING! Everyone keeps telling me to slow down but baby I’m just getting started! I still get overwhelmed with exhaustion and vomiting but right after I take my super long nap and brush my teeth 🤦🏽‍♀️ I get my butt up and WORK! I’m going at my pace and listening to my body. My goal is to be on top of Runyon when I’m 9 months and that’s just what I’m going to do!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents