Habari

Mke wa Rais Buhari kumjulia hali mumewe Uingereza

Mke wa Raisi wa Nigeri, Aisha Buhari kuelekea chini Uingereza kumuona mume wake Rais Muhammadu Buhari ambaye yupo huko kimatibabu.


Mkwe wa Rais Buhari, Bi.Aisha Buhari

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Ikulu ya Nigeria na Suleiman Haruna, imeeleza kuwa Aisha Buhari anatarajiwa kufika kwanza nchini Ethiopia katika mkutanao wa Organization of African First Ladies against HIV/AIDS (OAFLA), jijini Addis Ababa kabla ya kwenda kumuona mumewe.

“She is expected to stop over at Addis Ababa, to make a symbolic appearance at the meeting of the Organization of African First Ladies against HIV/AIDS (OAFLA) on Monday 3rd July, 2017. She will join other members to celebrate the 15th anniversary of the organization, and use the opportunity to reiterate the voting rights of Nigeria in the upcoming elections of the organization,” imeeleza Ikulu ya nchi hiyo.

Barua hiyo imeongeza kuwa “She will continue her journey to the United Kingdom on Tuesday, 3rd July, 2017,” Rais Buhari alienda nchini Uingereza tangu Mei 7 mwaka huu kwa ajili ya matibabu.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents