Habari

Mke wa Rais Mugabe adai Gabriella alikuwa mlevi

Mke wa Rais Mugabe, Grace Mugabe amedai kuwa binti aliyemshushia kipigo Gabriella Engels alikuwa mlevi na alitaka kumshambulia kwa kisu.

Tukio la kushambuliwa binti huyo lilifanyika Agosti 13,mwaka huu  nchini Afrika Kusini katika moja ya chumba cha Hoteli alichomkuta mrembo huyo na kijana wake Robert Jr.  Baada ya saa chache la tukio hilo Bi. Grace alijisalimisha mwenyewe katika kituo cha polisi nchi humo.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents