Habari

Mke wa Sam wa Ukweli azimia baada ya kuuona mwili wa mumewe (+video)

Mke wa marehemu, msanii wa Bongo Flava, Sam wa Ukweli amezimia baada ya kuuona mwili wa mumewe kijijini kwao Kiwangwa Bagamoyo, ambapo maelfu ya watu wamejitokeza kumsindikiza msanii huyo katika nyumba yake ya milele: Tazama video hii:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents