Tupo Nawe

Mke wa Trump amkabidhi tuzo Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Bi. Anna Henga kama mwanamke jasiri

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Bi. Anna Henga ametunukiwa Tuzo ya Mwanamke Jasiri (mwenye uthubutu) Duniani (International Women of Courage Award), 2019.

Tuzo hizo zinazoandaliwa na Ikulu ya Marekani chini ya Wizara ya Mambo ya Nje.

Tuzo hizo zilikabidhiwa jana na Melania Trump, mke wa Rais Donald Trump. Wanawake 10 kutoka mataifa mbali mbali duniani walikabidhiwa tuzo hizo kwa ujasiri wao katika kutetea haki za wanawake na binadamu kwa ujumla.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW