Burudani

Mkenya ala shavu kuhusika kwenye series maarufu ya Marekani, The Blacklist

Muigizaji wa Kenya, Edi Gathegi, amekula shavu la kuigiza kwenye msimu wa tatu wa series ya kimarekani, The Blacklist.

edi-gathegi

Gathegi alizaliwa Eastlands, Nairobi na kukulia California, Marekani.

Amewahi kuigiza kwenye filamu kubwa kama X Men, Twilight na House.

Kwenye msimu wa tatu wa series hiyo, Gathegi atakuwa upande wa maadui na atajulikana kama Mr. Solomon.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents