Habari

Mkewe mwanamfalme Harry wa Uingereza ajifungua mtoto wa kiume

Mkewe mwanamfalme Harry wa Uingereza ajifungua mtoto wa kiume

Harry and Meghan

Mwanmfalme Harry amesema kuwa yeye na Meghan “wanafuraha iyokuwa na kifani” baada ya mtoto wao wa kwanza kuzaliwa.

Amewashukuru wote waliyowapatia usaidizi kipindi cha ujauzitio wa mke wake.

Amesema Meghan na mtoto wao wako katika ”hali nzurI Jinala toto halijatolewa.

“Bado tunafikiaria jina tutakaliompatia,” Mwanamfalme Harry aliwaambia wanahabari.

“Nadhani tutakuwa na tumepata jina katika kipindi cha siku mbili – kama ilivyopangwa – na kama familia tutawafahamisha jina lake na kila mtu amuone mtoto.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents