Habari

Mkongo aanzisha smartphones na tablets za kwanza kutengenezwa Afrika

vmk-elikia

Mjasiriamali wa Congo Verone Mankou ameenzisha kampuni yake iitwayo VMK ambayo anataka kuifanya kuwa kama Apple ilivyo Marekani na Samsung ilivyo Asia.

Mankou anawataka watu wengi wa Afrika kutumia smartphone na tablet hizo zilizotengenezwa huko Brazzaville na kuunganishwa nchini China.

VMK imetengeneza tablet zake ziitwazo Way-C, ikiwa na maana ya “the light of the stars,” na pia smartphone ziitwazo Elikia, ikimaanisha “hope.”

Screen-shot-2012-02-02-at-9.26.27-PM

Tablet hizo zenye ukubwa wa Tab za Samsung’s Galaxy Tab zinauzwa $300. Smartphone za Elikia zinazotumia mfumo wa Android zinauzwa $170.

Elikia ina:
3.5-inch touchscreen
Memory of 512 MB
Internal memory of 256 MB is expandable to 32 GB
650 MHz processor
GPS
5 megapixels camera
WiFi and Bluetooth (Built-in WiFi hotspot

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents