Burudani

Mkongwe Juma Nature atoa neno kwa Simba wa Morogoro ‘Afande Sele’

Mkongwe wa Bongo Fleva Sir Juma Nature amefnguka na kutoa neno kwa mkongwe mwenzake katika tasnia ya Bongo Fleva Simba wa Morogoro Afande Sele.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nature ameandika ujumbe huo kitu ambacho kinahusishwa na tamasha la Wasafi Festival ambalo linatarajia kufanyika wikiendi hii likitoka mjini Iringa.

Juma Nature kwa asilimia kubwa atakuwepo kwenye tamsha hilo kutokana na kauli aliyoitoa mmoja wa mameneja wa Diamond Mkubwa Fela baada ya kusema ” Mwanangu Juma Nature Kiroboto atakuwepo kwenye Wasafi Festival ya Iringa na Morogoro”

Nature kuitia ukurasa wake wa Instagram ameandika “Mjomba andaa magimbi matamu mwenye chuki anaendelea nachukizake.”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents