Mkongwe wa hip hop Marekani afariki dunia

DJ na rapper mkongwe wa Marekani, Lovebug Starski amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 57.

Lovebug ambaye amesaidia sana kukuwa kwa muziki wa Hip Hop, amefariki dunia Alhamisi hii mjini Las Vegas kwa maradhi ya moyo.

Chuck D ambaye ni mtangazaji na rapper ambaye amekuwa karibu na Lovebug, ameuambia mtandao wa HipHopDX, “Lovebug Starski was A DJ, MC and innovator. A pioneer who excelled before and after the recording line of ’79, the year when rap records began. He was the first double trouble threat in Hip Hop and rap music.

“He DJ’ed for the great MCs and MC’ed with the great DJs. Besides Grandmaster Flash & The Furious Five, Lovebug Starski was one of the few that took his legendary street records status into the recording world,” ameongeza.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW