Burudani

Mkubwa Fella afunguka jinsi anavyowahudumia Mwana FA na Sallam ambao wamepatwa na virusi vya Corona (Video)

Meneja wa Diamond @mkubwafellatmk amefunguka kuzungumzia afya ya Mwana FA pamoja na Sallam SK ambao wapo kwenye kambi ya matibabu ya ugonjwa wa Corona. Amesema kwa sasa wote wanaendelea vizuri na muda wowote afya zao zikapokaa vizuri wataruhusiwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents