Burudani

Mkubwa Fella: Babu Tale hajasema ukweli kuhusu Clouds (Video)

Meneja wa Diamond na WCB, Mkubwa Fella amefunguka kwa kudai kwamba Babu Tale ameshindwa kuanika ukweli kitu kilichowaumiza kuhusu kukataza nyimbo za wasani wao wa WCB zisipigwe Clouds Media.

Mkubwa amedai kilichowaumiza ni kituo hicho khttps://youtu.be/rAU-zdjPWxYuacha kupiga nyimbo za wasanii wote wa WCB pamoja na za wale ambao wapo karibu na viongozi hao wakati tatizo lao lilikuwa na Diamond.

Amedai kila wakijaribu kuuliza kwanini nyimbo zao hazipigwi wafanyakazi wanasema bosi kasema, wakienda kwa bosi, bosi anasema mbona sijasema hivyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents