Burudani

Mkubwa na wanawe kuzindua kituo

Fella_face
Kundi la Mkubwa na wanawe wanatarajia kuzindua  rasmi kituo cha muziki cha mkubwa na wanawe siku ya Mkubwa na wanawe Family day , pia watamtambulisha Dogo Aslay kwa wakazi wote wa Temeke na vitongoji vyake. Meneja wa kundi hilo Yusufu


amesema kwamba tamasha litafanyika kwenye ukumbi  TCC Chang’ombe kuanzania saa nne asubuhi mpaka asaa nne usiku, siku ya tarehe 30 mwezi huu.  Pia siku hiyo watazindua nyimbo mpya ya Tmk Wanaume family inayoitwa Kichwa kinauma, huku show zikiletwa kwenu na Diamond ‘Moyo wangu’ Suma lee ‘Hakunaga’ , Adam Mchovu ‘Baba John’, Tip Top Connection na kumaliziwa na Tht Dansa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents