Burudani

Mkubwa na wanawe ndani ya miaka 50 ya Uhuru

Mkubwa_Face

Bendi ya mkubwa na Wanawe imeendelea kukamilisha video ya wimbo wa miaka 50 ya uhuru, ambao umeimbwa na kundi hilo katika maadhi ya Mchiriku. Kiongozi wa kundi hilo Saidi Fella, amesema bendi yake hiyo ya mkubwa na wanawe, imeweza kukusanya


wasanii wengi wachanga na wenye uwezo wa hali ya juu.  Amesema pia nyimbo hiyo imehamasisha watanzania kuitunza amani waliyokuwa nayo kwani ni tunu kutoka kwa mwenyezi mungu. Video ya wimbo huo ameifanya katika maeneo ya Temeke sehemu ambayo ni karibu na studio yake ya Poteza Record.

 

Mkubwa_Mtaani

Wakazi wa Temeke wakiangalia video iunavyochukuliwa

Mkubwa_Dulayeyo

DulaYeyo mkali wa mcvhiriku katika kundi hilo

Mkubwa_Fela

Mkubwa_fela_na_Suresh

Producer wa wimbo huo Suresh, akiwa na mkubwa Fella kiongozi wa kundi hilo.

Mkubwa_Kamera

Mkubwa_kiduku

Mkubwa_meneja

{hwdvideoshare}id=1609|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents