Tupo Nawe

Mkurugenzi wa Singida United afunguka madai ya Kenny Ally kwenda Yanga na mchezo wao dhidi ya Simba ‘Namfua ni uwanja wetu Simba hawezi kututangazia ubingwa’ (+video)

Mkurugenzi wa klabu ya Singida United, Festal Sanga amekiri hali yao kwa sasa sio nzuri kutokana na kubadili mfumo wa uchumi huku akikiri kuwasaidia Yanga kwa kuwapatia baadhi ya wachezaji  akiwemo Feisal Toto na kukana kumtoa nyota wao Kenny Ally kwenda kwa mabingwa hao wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania Bara.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW