Michezo

Mkurugenzi wa ufundi wa KRC Genk awataja wachezaji wawili wanaowaniwa EPL

Mkurugenzi wa benchi la ufundi wa timu ya KRC Genk, Dimitri de Conde amesema wanajiandaa kuziba nafasi za wachezaji wawili wanaowindwa na vilabu vikubwa vya ligi kuu ya Uingereza.

Conde ameiambia HLN kuwa wanapambana kuhakikisha wachezaji wake Leon Bailey na Wilfred Ndidi wanacheza kwenye timu hiyo mpaka mwisho wa msimu huu lakini kuna uwezekano mkubwa wanaweza kuondoka kwenye dirisha dogo la usajili mwezi Januari mwakani.

“We’ll fight to keep them here until the end of this season, but that is no easy task. If mega bids – by Belgian standards – are made, they we cannot reject it, and if the boys also feel ready for a step up then it will be very difficult to keep them in Genk,” amesema Dimitri.

“I must be ready with alternatives. In the category of players 20 or under, then these boys are absolutely top talents, so I think a fee of between €20-€25 million is certainly warranted, he continued. The ideal scenario would be that we reach a deal in January with the interested clubs but the guys say here for the rest of the season. I’ll do that if I can,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents