Habari

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa, Amuomba Waziri kuhalalishwa gongo

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa, Amuomba Waziri kuhalalishwa gongo

Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa amemuomba Waziri wa Katiba na Sheria kufanya marekebisho ya sheria ya pombe za kienyeji ili kuihalalisha.

Hatua hiyo ni baada ya kupokea majibu ya sampuli iliyochukuliwa kwenye pombe aina ya Gongo inayozalishwa kutoka kwenye bibo, kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, na kuthibitika kuwa inaweza kutumika kuzalisha spiriti iwapo itafikishwa viwandani.

https://www.instagram.com/p/B-d0kJypwkG/

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents