BurudaniMarimba Music Chart

MMC: AY na Ben Pol waingia katika Top 20 ya Marimba Music Chart wiki hii (27th Feb 2014)

Wiki hii katika chart ya Marimba nyimbo mbili mpya zimeweza kuingia, ambazo ni ‘Asante’ ya AY aliyomshirikisha Dela pamoja na ‘Unanichora’ ya Ben Pol akiwa amemshirikisha Joh Makini.

Nyimbo zilizotoka ni ya Cassim Mganga ‘I Love You’ iliyodumu kwa wiki 27, na ya Mr Blue ‘Pesa’ iliyokaa kwenye chart kwa wiki 15.

Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania.

HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (27th February 2014)
MARIMBA CHART (27th FEB 2014)-1
MARIMBA CHART (27th FEB 2014)-2

VYANZO:
MARIMBA CHART SOURCES (20th DEC 2013)

VIGEZO:
MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja na kupata orodha ya nyimbo zilizoingia katika chart nyingi zaidi na kupata nyimbo 20 ambazo ndio zinazofikia kigezo cha kuingia katika Marimba Music Chart.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents