BurudaniMarimba Music Chart

MMC: Barakah Da Prince na Mo Music waingia katika Marimba Music Chart wiki hii (11/04/2014)

Wiki hii katika Chart ya Marimba zimeingia nyimbo za wasanii wawili wapya wote kutoka Mwanza, Mo Music na single yake ‘Basi Nenda’ pamoja na Barakah Da Prince na wimbo wake uitwao ‘Jichunge’. Nyimbo zilizotoka wiki hii ni ‘Mimi na wewe’ ya Dayna iliyokaa wiki 11 pamoja na ‘Roho Yangu’ ya Rich Mavoko iliyodumu kwa wiki 27 katika chart hii.

mo na barakah
Barakah (kushoto) Mo Music (kulia)

Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania.

HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (11/04/2014)
MARIMBA CHART (11th APRIL 2014)-1
MARIMBA CHART (11th APRIL 2014)-2

VYANZO:
MARIMBA CHART SOURCES (20th MAR 2014)

VIGEZO:
MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja na kupata orodha ya nyimbo zilizoingia katika chart nyingi zaidi na kupata nyimbo 20 ambazo ndio zinazofikia kigezo cha kuingia katika Marimba Music Chart.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents