BurudaniMarimba Music Chart
MMC: Mwasiti na Msechu waingia kwenye Top 20 ya Marimba Music Chart wiki hii (24th January 2014)
Wiki hii katika chart ya Marimba yapo maingizo mawili mapya ambayo ni single mpya ya Mwasiti Almasi ‘Serebuka’, pamoja na ‘Fire’ ya Peter Msechu. Fareed Kubanda aliyedumu kwa wiki 10 na Bob Junior aliyekaa kwa wiki 9 wameiaga chart hii.
Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali za Tanzania.
HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (24th January 2014)
VYANZO:
VIGEZO:
MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja na kupata orodha ya nyimbo zilizoingia katika chart nyingi zaidi na kupata nyimbo 20 ambazo ndio zinazofikia kigezo cha kuingia katika Marimba Music Chart.