Marimba Music Chart

MMC: ‘My Number 1’ ya Diamond yaingia, Lady Jaydee bado yuko kileleni Katika Marimba Music Chart (19th September 2013)

Hii ni wiki ya 9 ya chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania ‘Marimba Music Chart’ ambapo single mpya ya Diamond Platnumz ‘My Number One’ imefanikiwa kuingia, huku Lady Jaydee akiwa bado anaendelea kushikilia nafasi ya kwanza kwa wiki ya 9 mfululizo.

diamond

Marimba Music Chart (MMC) huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali (zinazowakilisha radio zote) nchini.

HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (19th September 2013)
MARIMBA CHART (19th SEPT 2013)-1
MARIMBA CHART (19th SEPT 2013)-2

Ingia HAPA kupata chart ya Marimba ya wiki iliyopita (12th Sept 2013)

VYANZO:
MARIMBA CHART SOURCES (19th SEPT 2013)

VIGEZO:
MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja na kupata orodha ya nyimbo zilizoingia katika chart nyingi zaidi na kupata nyimbo 20 ambazo ndio zinazofikia kigezo cha kuingia katika Marimba Music Chart.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents