Marimba Music Chart

MMC: Single mpya ya Rich Mavoko ‘Roho Yangu’ yaingia, huku Madee aiaga Marimba Music Chart (26th September 2013)

Ikiwa ni wiki ya 10 ya chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania ‘Marimba Music Chart’, yapo mabadiliko kiasi ya kupanda na kushuka huku single ya Madee ‘Sio mimi’ iliyodumu kwa wiki 9 ikitoka na nafasi yake kuchukuliwa na ingizo jipya la wimbo mpya wa Rich Mavoko ‘Roho Yangu’.

Rich mavoko

Marimba Music Chart (MMC) huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali (zinazowakilisha radio zote) nchini.

HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (26th September 2013)
MARIMBA CHART (26th SEPT 2013)-1
MARIMBA CHART (26th SEPT 2013)-2

Ingia HAPA kupata chart ya Marimba ya wiki iliyopita (19th Sept 2013)

VYANZO:
MARIMBA CHART SOURCES (26th SEPT 2013)

VIGEZO:
MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja na kupata orodha ya nyimbo zilizoingia katika chart nyingi zaidi na kupata nyimbo 20 ambazo ndio zinazofikia kigezo cha kuingia katika Marimba Music Chart.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents