Marimba Music Chart

MMC: Top 20 ya Chart Rasmi ya Muziki wa Kizazi Kipya TZ wiki hii (8th August 2013)

Wiki hii katika Marimba Music Chart (MMC) kuna mabadiliko kadhaa kuanzia kwenye idadi ya nyimbo ambayo sasa imeongezeka kutoka Top 10 hadi Top 20, wasanii kama Joh Makini, Cassim Mganga, Rama D, ni miongoni mwa maingizo mapya.

CHART PIX

Kutokana na maoni ya wadau na mashabiki sasa chart hii itakuwa inajumuisha nyimbo ishirini (Top 20) ili kutoa nafasi kwa nyimbo nyingi zaidi zinazofanya vizuri katika vituo mbalimbali vya Radio za Tanzania.

Hii ndio Chati Rasmi ya Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania wiki hii

MARIMBA CHART (8th AUG 2013)-1
MARIMBA CHART (8th AUG 2013)-2
Ingia HAPA kupata Chart ya wiki iliyopita (1st August 2013)

Marimba Music Chart huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali (zinazowakilisha radio zote) nchini.
MARIMBA SOURCES (8th AUG 2013)

VIGEZO:
MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja na kupata orodha ya nyimbo zilizoingia katika chart nyingi zaidi na kupata nyimbo 20 (kwa sasa) ambazo ndio zinazofikia kigezo cha kuingia katika Marimba Music Chart.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents