Marimba Music Chart

MMC: ‘Tupogo’ yaendelea kukaa kileleni na ‘Monifere’ ya Gosby yaingia katika Marimba Music Chart (18th October 2013)

Hit single ya Faraji Nyembo aka Ommy Dimpoz imeendelea kutetea nafasi yake ya kwanza kwa wiki ya 3 mfululizo katika chart ya Marimba, huku kukiwa na mabadiliko katika nafasi chache ikiwa ni pamoja na ingizo jipya la ‘Monifere’ ya Gosby iliyochukua nafasi ya ‘Thanks God’ ya Godzilla iliyotoka.

Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali (zinazowakilisha radio zote) Tanzania.

HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (18th October 2013)

MARIMBA CHART (18th OCT 2013)-1
MARIMBA CHART (18th OCT 2013)-2

Ingia HAPA kupata chart ya Marimba ya wiki iliyopita (12th October 2013)

VYANZO:
MARIMBA CHART SOURCES (11th OCT 2013)

VIGEZO:
MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja na kupata orodha ya nyimbo zilizoingia katika chart nyingi zaidi na kupata nyimbo 20 ambazo ndio zinazofikia kigezo cha kuingia katika Marimba Music Chart.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents