Burudani

Mmoja ajitokeza kuzaa na Bieber

bieber

 

Mwanadada mmoja mwenye umri miaka 20 anaiyeitwa Mariah Yeater , amemshitaki mwanamuziki Justine Bieber mwenye umri wa miaka 17 kwa madai kwamba amezaa naye mtoto mmoja wa kiume anayeitwa  Tristyn.


Mwanadada   huyo kwa kusaidiana na wakili wake Lance Rogers na Matthew Pare, walisema kwamba vipimo vya  DNA, ndivyo vinavyothibitisha kwamba ni kweli mtoto huyo  ni  mwanamuziki huyo . Tayari mwanadada huyo ameshafikisha ushahidi, mahakamani kwaajili ya kuangalia nini kitafuata baada ya kutoa shutuma zake hizo, juu ya mwanamuziki huyo anayezidi kujizolea umaarufu mkubwa  duniani.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents