Soka saa 24!

Mo aulizwa swali gumu na Lemutuz, akiri Simba inajiendesha kwa hasara, atangaza ajira ‘Vision yetu sio kutengeneza pesa’ (+video)

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simba Sports Club, Mohammed Dewji amejikuta akikumbana na swali gumu kutoka kwa Lemutuz ambalo lilikuwa likiuliza kama muwekezaji ndani ya timu je fedha zake zitarudi ili na klabu hiyo nayo izidi kuwa kubwa ?. Ambapo Mo amejibu kuwa ni kweli Simba inaendeshwa kwa hasara lakini vision yao siyo kutengeneza pesa bali ni kuwa imara ili leo na kesho na uwezo wa kuendelea kushindana kwenye levo za juu Afrika. 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW