DStv Inogilee!

MO Dewij afurahishwa na ushindi wa Simba dhidi ya Mbabane, aweka wazi malengo ya timu hiyo

Mmoja ya wamiliki wa simba na C.E.O wa kampuni ya METL Mohamed Dewij amefunguka na kuonyesha kufurahishwa na ushindi wa timu ya Simba dhidi ya Mbabane kutoka nchini Eswatini.

Timu hiyo imepata ushindi wa pili mfululizo dhidi ya timhiyo kwa jumla ya goli 4-0 na kufanya mla ya goli 8-1 baada ya mchezo uliochezwa wiki iliyopita uliochezwa hapa nyumbani ambao Simba waliibuka kwa jumla ya goli 4-1.

Tajiri huyo ameweka wazi malengo ya timu hiyo na kusema haya kupitia ukurasa wake wa Instagram.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW