Michezo

Mo Dewji atangaza kumtafuta shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi na mashabiki wa Yanga (+Video)

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya @simbasctanzania @moodewji atangaza kumtafuta shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi namashabiki wanaoonekana wa Yanga.

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram MO DEWJI amepost ujumbe huu wenye video hiui:-

Namtafuta shabiki huyu wa Simba aliyechaniwa jezi, nataka kukutana nae. Mpira ni Ushindani, Mpira ni Utani, Mpira sio Uadui!

https://www.instagram.com/p/CElbcwml-GA/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents