Bongo Movie

Mobby aja na filamu ya Vampire

Mobby

Msanii wa filamu Mobby Mpambara, ameonyesha mabadiliko makubwa ya filamu katika filamu ya  Muvi msitu.


Mpambara  alisema kuna vitu vingi tofauti kwenye filamu hiyo aliyoigiza kwenye mkoani Iringa kijiji cha Tosa Maganga.

Aidha alisema elimu kwa wasafiri ambao mara nyingi wamekuwa wakisafiri bila kusoma mazingira na sehemu wanayoenda.

Amesema ni  filamu inayotoa elimu kwamba tuheshimu sehemu tunazoenda kwani kila sehemu kuna mambo ambayo yapo.

Amesema filamu hiyo zaidi imeigizwa katika mtindo wa Ki-Vampire kwaajili ya kuleta radha tofauti

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents