Bongo Movie

Mobby Mpambala na filamu za Action

Mobby_Mpambala_Face

Mwigizaji wa filamu za Action, Mobby Mpambara, amesema ingawa ni msanii mzuri wa filamu na anafanya vizuri lakini hatoweza kuidharau kazi yake ambayo imemtoa mbali. msanii huyo alisema watu wengi wamekuwa wakishindwa kutaja kazi zao lakini yeye yupo tofauti sana.

 

Aidha amedai hawezi kuficha chochote kuhusu maisha yake, na kazi yake  iliyomlea katika maisha yake. pia amesema watu wengi wamekuwa wakishangazwa na maisha anayoishi kutokana na Usiliasi anaounyesha kwenye filamu na maisha yake harisi.

Mobby_Mpambala

Aidha Mobby amesema, watu wamekuwa wakimwogopa kutokana na kuzoea kuigiza filamu za Action, hususani za kijambazi na ukatiri wa hari ya juu.

Mobby_Mpambala_chrehani

Mobby_Mpambala_mtoto

Mtoto wa Mobby wa kwanza yeye ni tofauti na baba yake, kwani anapenda sana filamu za Comedy, na anatarajia kuja na filamu zake na vichekesho

Mobby

Mobby Mpambala, akiwa kwenye makaratasi ambayo yanaonyesha baadhi ya filamu alizoigiza, ikiwemo My Brother, She Dead, na nyingine nyingi

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents