Burudani

Mobetto kupitia video ya ‘Madam Hero’ aigiza yeye na mtoto wanafukuzwa na ndugu wa mume

Mwanamitindo na muimbaji, Hamisa Mobetto ameachia video ya wimbo wake  ‘Madam Hero’ huku ndani ikiwa na matukio yasiokuwa yakawaida. Mrembo ambaye amezaa mtoto mmoja na Diamond, kupitia video ya wimbo huo ameigiza anafukuzwa na ndugu wa mume akiwa na mtoto mdogo, tukio ambalo limeanza kuwa gumzo mitandaoni kutokana na mrembo huyo kutokuwa na mahusiano mema na mzazi mwenzake, Diamond.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents