BurudaniVideos

Model kwenye video ya Diamond na Ne-Yo apagawa na ‘love’ ya Wabongo

Diamond Platnumz ni bingwa wa kuwapa mashavu models wanaohusika kwenye video zake.

Jessica H aka Jess Slay, model wa Marekani aliyeigiza kama bibi harusi kwenye video ya wimbo ‘Marry You’ wa Diamond na Ne-Yo anapagawa na umaarufu wa muda mfupi alioupata.

“Asilimia ngapi unampa huyu mlimbwende… halafu account yake hii hapa @_jess_slay …Maana nimechoka kupokea msg na simu za nionganishe nae, mara nieke , Mara fanya Mpango….???? @_jess_slay ),” ameandika Diamond kwenye picha ya mrembo huyo aliyoiweka Instagram.

Baada ya shavu hilo, idadi ya followers wake wa Instagram ilipaa juu ndani ya muda mfupi na kupokea mvua ya message za pongezi kutoka kwa mashabiki wa Diamond.

“OMG ???????????? Words cannot express how grateful and thankful I am for all of the love and support I’m receiving from you guys! In #tanzania???????? and other parts of Africa! Thank you soo much #Simba #diamondplatnumz for letting me be the bride in the video!!! ????????????????????????????????????????????,” aliandika Jessica.

Kwenye picha nyingine Jess ameandika, “Words cannot express how overwhelmed, overjoyed and grateful I am for all of the love I’m receiving from my African Family ???????????????????????????????? I really appreciate and love you guys soo much!! ???????????????? I hope to see everyone soon! #TheBride ???????????? #MarryYou.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents