Habari

Mohamed Dewji kulipamba kava la jarida la Forbes Africa la July 2013

Mbunge wa Singida Mjini Mohammed Dewji, atakuwa kwenye kava la jarida la Forbes Africa mwezi ujao.

942331_578714148840668_773339795_n

Miongoni mwa yale yaliyoandikwa kwenye cover story yake ni pamoja na ‘akiwa na miaka 38 tu, Mohammed Dewji ameajiri watu 24,000 na anadai kuwa anachangia asimilia 3.5% ya pato la nchini, GDP.Ndani ya miezi mitano ijayo anategemea kutengeneza himaya yenye thamani ya dola bilioni 5.’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents