Mohamed Salah aingia kandarasi ya muda mrefu Liverpool

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool, Mohamed Salah ameingia kandarasi ya muda mrefu zaidi ndani ya timu hiyo baada ya kuitumikia kwa mafanikio makubwa msimu uliyopita.

Salah mwenye umri wa miaka 26 raia wa Misri ameamua kusaini muda mrefu baada ya kuipatia mabao 44 kwenye michezo 52 aliyocheza na sasa atakuwa anaingiza pauni 200,000 kwa wiki kiasi ambacho kinamfamnya kuwa mchezaji anayelipwa fedha nyingi katika historia ya klabu hiyo.

Mohamed Salah finished with the Golden Boot after scoring 32 goals in the Premier League season

Mchezaji huyo ambaye ni mshindi wa tuzo ya kiatu cha dhahabu msimu uliyopita baada ya kufunga jumla ya mabao 38 ligi kuu ya Uingereza na kutwaa PFA na ile ya mchezaji aliyeandikwa zaidi kwa mwaka husika.

Kupitia kwa Salah Liverpool ilifanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya na kutotwaa taji hilo baada ya kupokea kipigo cha mabao 3 – 1 na Real Madrid.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW