Mohamed Salah ashinda tuzo ya mchezaji bora March, aweka rekodi mpya EPL

Mchezaji hatari wa Liverpool, Mohamed Salah amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora mwezi March.

Salah amewahi kushinda tuzo hiyo mwezi uliopita (February) na Novemba mwaka jana.

Mchezaji huyo anakuwa wa kwanza kuweza kushinda tuzo hiyo mara tatu katika msimu mmoja wa ligi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW