Bongo Movie

Monalisa amaliziana na tuzo za NEA

mona

Mwigizaji wa filamu nchini Vyonne Cherry ‘Monalisa’ ameshindwa kwenye mashindano ya waigizaji bora lililokuwa lililoandaliewa Nigeria na kufanyika  New york Marekani, ambayo yanatambulika kama Nigeria Entertaiment Award ‘NEA’


hakufaikiw kutwaa tuzo hizo kwasababu kura zake hazikuweza kutosha. hata hivyo msanii huyo bado hajarudi kwaajili ya kuendelea na kazi zake za kisanii, ila  anawashukuru hao wachache ambao wamempigia kura mpaka kufikia hapo alipofikia.

Hata hivyo msanii huyo ni bahati kwake kuingia kwenye tuzo hizo kwani pia kunampa moyo juu ya kazi zake, kwani hii inaonyesha ni jinsi gani anavyojituma kwenye sanaa ya Movies.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents