Burudani

Moni Centrozone ajirudi kwa Roma

By  | 

Rapper Moni Centrozone ameamua kujirudi klupitia mtandao wa Instagram kwa kumtaka Roma Mkatoliki wayamalize matatizo yao.

Moni alimtuhumu Roma kwa kuwageuka kufuatia kutoa siri za utekwaji wao uliofanyika miezi kadhaa nyuma kwa kuzielezea kupitia ngoma ya ‘Zimbabwe’ aliyoitoa wiki mbili zilizopita na kufanya vizuri sehemu mbalimbali.

“#Mimi Mdogo Wako Tu. Hata Ukinipunguza #Nakukubali Sana. #TongweRecordsForever #UsimsahauMchizi #MatangoPori #TunaishiNao Videos #LinkInMyBio ????????????,” ameandika Moni kwenye mtandao huo.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments