Michezo

Moroco watua nchini

Moroco

Timu ya Taifa ya Moroco imewasili nchini jana kwa shirika la ndege la la KLM iliyotua katika uwanja wa Mwalimu J. Nyerere, Moroco inatarajia kuumana na Taifa Stars kwenye uwanja wa taifa jumamosi jijini Dar es Salaam.

 

Moroco

Mchezaji wa timu ya Asenal FC inayoshiriki ligi kuu Uingereza, Marouane Chamakh akiwa katika msafara wa timu hiyo  pamoja na wenzanake walielekea hotelini.

Moroco

Mechi hiyo itakuwa ni mechi ya kufuzu fainali za kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2012 na utaonyeshwa moja kwa moja katika kituo cha Television cha Super Sport cha Afria Kusini.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents