Burudani
Video: Morogoro wafanya kweli Pindua Pindua Dance
Katika kusheherekea msimu wa Pindua Pindua Dance kutoka Vodacom, wakazi wa mji kasoro bahari Morogoro wameonyesha mbwebwe zao na kashkash za kucheza Pindua Pindua Dance 2017.