Michezo
Morrison atimuliwa kambini, Luc Eymael ashangaa nyota wake alivyo badilika (+Video)
Kocha wa Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Young African Sports Club Luc Eymael amemtimua kambini nyota wake, Bernard Morrison aliyemsajili mwezi Januari 2020.