Habari

Most Expensive Dog: Mbwa anunuliwa kwa tshs bilioni 3.2 nchini China

Mbwa wa huko nchini China amenunuliwa kwa dola milioni 2 (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 3.2) na kufanya kuwa mbwa aliyenunuliwa kwa bei kubwa zaidi.

90db16b52b36c1884967a7b5d83319d138042130

Kwa mujibu wa Qianjiang Evening News, mbwa huyo alinunuliwa kwa Yuan milioni 12 mashariki mwa jimbo Zhejiang. Mbwa hao wanadaiwa kufanana na simba na wana thamani kubwa kwakuwa wanaaminika kuleta bahati, afya na ulinzi.

8abc9442cb2eb926720865531fd926e55c2fe86d

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents