Tia Kitu. Pata Vituuz!

Moto wa Harmonize hauzimiki aachia video mbili ndani ya siku mbili, Moja akimshirikisha msanii wa Nigeria – Video

Moto wa Harmonize hauzimiki aachia video mbili ndani ya siku mbili, Moja akimshirikisha msanii wa Nigeria - Video

Msanii wa Bongo Fleva na C.E.O wa @kondegang @harmonize_tz ameuwasha moto kwenye muziki wa Bongo Fleva baada ya kuachia video mbili za nyimbo zake mpya.

Mapema jana Harmonize aliachia video ya wimbo wa ‘HAUNISHTUI’ licha ya audio yake kuachiwa wiki kadhaa nyuma lakini Video imeachiwa siku ya jana ya januari 4/2020.

Mapema leo Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya “TEPETE” akimshirikisha msanii kutoka nchini Nigeria Mr Eazi.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW