Michezo

Mourinho awasifia Ureno kwa ubingwa wa Euro 2016 kwa style hii

Ni ajabu kumuona Mourinho akiwa kimya wakati timu ya taifa lake, Ureno ndio mabingwa wapya wa Ulaya.

Baghdad-1

Mourinho ni miongoni mwa makocha wenye ‘mbwembwe’ nyingi sana duniani. Kupitia akaunti yake ya Instagram Mourinho ametania kwa kuandika, “if you want to visit the country of the european champions visit PORTUGAL????????????????????????????????????????!!!!!!!!.”

Ureno ilifanikiwa kuifunga timu ya Ufaransa kwenye mchezo wa fainali goli 1-0 lililofungwa na Eder aliyeingia uwanjani dakika ya 79 akichukua nafasi ya Renato Sanchez na kufanikiwa kufunga goli dakika ya 109.

Hivi karibuni Mourinho ametangaza kuwa haoni sababu ya kukosa kila kikombe akianza kuifundisha timu ya Manchester United. Maneno hayo yametafsiriwa kama ni kejeli kwa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger na Louis Van Gaal aliyekuwa kocha wa United.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents