Michezo

Mourinho ayajibu malalamiko ya Wenger kuhusu uhamisho wa Mata

Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho amemjibu meneja wa Arsenal, Arsene Wenger kufuatia malalamiko yake kuhusiana na uhamisho wa kiungo Juan Mata aliyejiunga na Manchester United kwamba hayakuwa ‘fair’.

row_2802040b

Wenger anadai Chelsea wamefanya kusudi kumuuza Mata United kwa sababu wao Chelsea wameshacheza na United mara zote mbili huku Arsenal, City, Liverpool na Everton wanaofukuzana na Chelsea hawajacheza mchezo wa marudiano na Chelsea, hivyo anaona hatua hiyo ni kuimarisha kikosi cha Man United ili kitoe upinzani kwa timu hizo ikiwemo Arsenal, hoja ambayo hata Meneja wa Manchester City ameiunga mkono.

“Wenger complaining is normal because he always does, If Wenger sells Özil to Man United, I will be very happy because he’s selling a very important player. So, normally, he should be very happy that Chelsea sold a player like Juan Mata. But I think it’s also a bit of his nature. We have to accept the way he is. But when he says that this is not fair, I think what is not fair is that his team always has the best days to play. Always. When you go to the fixtures this season, it’s never fair because they always get the right to rest and the right time to play. That’s not fair,” alisema Mourinho.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents