Michezo

Mourinho: Mambo Bado Kabisaaa

 

Kocha wa Real Madrid Jose Mourinho licha ya kupata ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Deportivo La Coruna kwenye uwanja wa Bernabeu Jumapili iliyopita katika ligi ya Hispania, amesema bado timu yake iko kwenye matengenezo.

Ushindi huo ni mkubwa kwa kikosi hicho tangu kilipoanza kuwa chini ya kocha huyo na kusababisha mtambo kuongezeka na kusema `Bado hatujawa na timu bora duniani,tupo kwenye marekebisho,kazi inaendelea na kuna mengi sana ya kufanya.

Aidha kocha huyo aliyewahi kuifundisha Fc Porto ya Ureno amejinadi kuwa anataka kufunuka Barcelona kutawala soka la Hispania na Ulaya,

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents