Michezo

Moyes amtisha Ferguson

 

Kocha wa Everton,David Moyes amemshtua kocha wa Man United,Alex Ferguson  baada ya kutangaza nia yake ya kumtaka Federico Macheda.

Moyes anataka kumchukua mchezaji huyo kwa mkopo lakini swala hilo litakua gumu kwa Ferguson ambaye anaona kiwango cha mchezaji huyo kinapanda kwa sasa licha ya kutompa nafasi katika kikosi cha kwanza.

Limefahamika kwamba iwapo atamkosa kwa mkopo basi Moyes atatangaza dau la kumsajili Januari mwakani.

Lakini habari kutoka Man United zinasema,Macheda anashauku ya kuondoka katika klabu hiyo ili apate nafasi ya kwanza kwani kwa sasa anacheza nyuma ya Rooney, Berbatov na Hernandez (Chicharito

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents