AwardsBurudaniHabari

Mpambano mkali Music Awards

Majina ya wasanii waliopendekezwa na wananchi kugombea tuzo za Tanzania Music Awards yaliwekwa wazi jana tarehe 28 April mbele ya waandishi wa habari.

Akiongea mbele ya wandishi wa habari Makamu mwenyekiti wa Kamati ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards,John Dilinga alisema kwa mwaka huu kunaonekana kutakuwa na ushindani mkubwa miongoni mwa wasanii waliopendekezwa kutokana na wengi wao kuonekana wenye nguvu zinazolingana

Hii hapa chini ni list nzima ya wasanii waliopendekezwa kugombea tuzo hiyo kubwa ya muziki hapa nchini;

1.MWIMBAJI BORA WA KIKE

a)Keisha (Khadija Shaaban)
b)Khadija Kopa
c)Khadija Mnoga(Kimobitel)
d)Sabbah Salum Mchacho
e)Saida Kaloli

2.MWIMBAJI BORA WA KIUME

a)Hassan Rehan Bitchuka
b)Mzee Yusuph
c)T.I.D
d)Badi Bakule
e)MB DOG

3.ALBAM BORA YA TAARAB

a)Ee bwana ndiyo-Omary/Khadija
b)Litawachoma-Zanzibar Stars
c)Undugu Hazina Yetu-Mzee Yusuph
d)Sitaki Ushambenga TOT
e)Paka Mapepe-East African Melody

4.WIMBO BORA WA TAARAB

a)Litawachoma-Zanzibar Stars
b)Sitaki Ushambenga TOT
c)Langu jicho Zanzibar Stars
d)Paka Mapepe-East African Melody

5.WIMBO BORA WA MWAKA

a)Nikusaidiaje- Prof. J
b)Waja- MB DOG
c)Namba Nane- Daz Baba
d)Litawachoma-Zanzibar Stars
e)Safari 2005- African Stars

6.WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)

a)Ajali-Msondo
b)Safari 2005- African Stars
c)Chenye Mwanzo- Mchinga Generation
d)Mnyonge Mnyongeni- TOT
e)Euro 10- Banza Stone

7.ALBAM BORA YA KISWAHILI (BENDI)

a)Safari 2005 – African Stars(Twanga)
b)Mnyonge Mnyongeni – TOT
c)Juma Kakere – Remy
d)Maneno Maneno – DDC Milimani Park
e)Euro 10 – Banza Stone

8.ALBAM BORA YA R?n?B

a)Mwanzo – Hammer Q
b)Nalia kwa Furaha – K-Lynn
c)Kama Vipi – Mez B
d)Msamaha – Soul & Faith
e)Usinicheke – Keisha

9.WIMBO BORA WA R?n?B

a)Pekee – T.I.D
b)Waja – MB DOG
c)Namba Nane – Daz Baba
d)Chungwa -Suma Lee
e)Niko Radhi – Banana Zorro

10.WIMBO BORA WA ASILI YA KITANZANIA

11.ALBAMU BORA YA ASILI YA KITANZANIA

12.WIMBO BORA WA HIP HOP

a)Nikusaidiaje – Prof. J
b)Unanitega – Mwanafalsafa
c)Mwanza Mwanza – Fid Q
d)Kimya Kimya – J Mo
e)Naja – Squeezer

13.ALBAM BORA YA HIP HOP

a)Joseph – Prof. J
b)Unanitega -Mwanafalsafa
c)Mashaka – Dudu Baya
d)Mimi – O-Ten
e)Kibanda Cha Simu – Soggy Doggy

14.WIMBO BORA WA REGGAE/RAGGA

a)Kwa nini – Innocent Nganyangwa
b)Unanichanganya – Pagawiza Crew
c)Msela Jela – Bushoke
d)Ninachotaka – Ismail (washikaji)
e)Ni wewe – Hard mad

15.ALBAM BORA YA AFRICA MASHARIKI

a)Chukua – Longombaz (Kenya)
b)Pioneer – Red Sun (Kenya)
c)M4E – Kleptomaniac (Kenya)
d)Mama Mbiire – Boby Wine (Uganda)
e)Karibu Afande – Megga Dee (Uganda)

16.MTUNZI BORA WA MUZIKI

a)TX Moshi William
b)Ali Choki
c)Mzee Yusuph
d)Mwanafalsafa
e)Abdul Misambano

17.MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO

a)P Funk
b)Complex
c)Roy
d)Hendrico
e)Marlon Linje

18.MWANDIKAJI BORA WA NYIMBO

a)Mzee Yusuph
b)Ally Choki
c)Banza Stone
d)Prof. J
e)Mwanafalsafa

19.MTAYARISHAJI BORA WA VIDEO

a)Empty Soul
b)Visual Lab
c)Benchmark
d)2 Eyez Production
e)Mwananchi Production

20.WIMBO BORA WA ZOUK

a)Huruma – Keisha
b)Siwezi Sema – Deo Mwanambilimbi
c)Mapenzi ya Siri – Hussein Jumbe
d)Pole kwa Safari – Juma Kakere
e)Zawadi – Keisha

21.MWANAMUZIKI/KIKUNDI BORA ANAYECHIPUKIA

 

SOURCE: Darhotwire

{mos_sb_discuss:6}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents