Habari

Mpambe wa Rais Magufuli aombwa apangiwe kazi nyingine (+video)

Mkuu wa Majeshi Tanzania, Venance Mobeyo, amemuomba Rais Magufuli aridhie mpambe wake, Kanali Mbaraka Naziad Nkeremy kupangiwa kazi nyingine baada ya kupandishwa cheo kutoka Kanali, kuwa Brigedia Jenerali.

Hata hivyo amesema kuwa “Pamoja na upandishwaji vyeo huo nimeomba pia aridhie na amekubali kupandishwa cheo Luteni Kanali DPM Mlunga kuwa Kanali na kwa cheo hicho Mh. Rais ameridhia vilevile ateuliwe kuwa mpambe wa Rais kuanzia leo taratibu zingine za kuwavisha vyeo hivyo zitafanyika kesho Makao Makuu ya Jeshi ,” amesema Mobeyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents